Kebene ni huduma inao elimisha na kuwakuza watoto wa mitaani na mayatima bila nia yu ushindi wowote. Nyumba hii ya watoto inapatikana, kusini pwani mwa Kenya (Diani Beach) kwa wakati huu tunahudumia watoto ishirini na tano (29) katika kituo cha Kebene, Ambapo tunapata msahada kutoka kwa wasimamizi wa watoto.

Kadha ya viongozi ni wakazi wa Kenya wanao saidia kwa shanguli za kila siku na kuangalia uzima wa watoto na usalama. Chanzo cha kituo hiki ni kuwaelemisha watoto hawa, kuhakikishu wanapaka malezi, upendo na malisho, na hata kupiga hatua ya kuangalia maisha yao ya mbelini wakati watakapo kuwa watu wazima wawe na ujuzi fulani.

Watoto hawa wamepitia maisha machungu sana, kwa hivyo tunahakikisha wamepata maisha yao ya utoto watakayo furahiya kwa hivyo tunafanya kazi hii na urafiki na upenzi ili watoto wapate kuwa na utu wa upendo na wajihisi nyumbani bila wasi.

  Site Map